NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
- Thread starter
- #41
Anzisha ya muhimu tutachangia mkuu. BTW unajua dhima ya jukwaa hili?!Kuleta ishu ya wema huku ni ujuha, kuna mambo muhimu ya kujadili yenye manufaa kwa jamii sio upuuzi kama huu.