Wema sepetu amebreak internet

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Wema Sepetu alitrend mpaka nigeria kwa vazi lake linaloonyesha umbo lake la CURVE, japo watu wanahoji ni shape yake,maana haikuwepo mwaka jana imetokea wapi. je ni mchina?
 
kama nawaona waliomla wanavyochekea...hahahhaa hii shape ya wema sio halisi.period
 
sas ndo shep gani hilo na nyiee nikiliangalia tu napata upunguf wa nguv za kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…