Wema sepetu amebreak internet

Wema sepetu amebreak internet

Umbo gani hilo???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Miss%2BTz%2B2006.jpg
Wema%2Bissac.jpg
 
_20170622_195701.JPG

IMG_20170621_091556.jpg

wale wote wenye matatizo ya kuwa na viwowowo viduchu kama changu see me inbox nauza hizi vitu ya juu ni 25,000 na ya chini 27000/ usione soo mi nafanya buashara sisemi siri za wateja 0687014522............
 
Mmmmmh

Wanaume wa humu kweli mmemchoka, enzi kabla ya vigodoro mngeshafikisha pages nyingi

Inabidi ajitafakari shaaaa, ila ajue kila celeb ana muda wake na wake umepita bahati sijui mbaya gani aliyonayo akupenya. Siku hizi anajaribu na imetoka hiyooooooo
 
Hulali!au unajiandaa ku yake off angani....ili ukatege mabomu

Ova
 
Amevunja internet how kiongozi? Huyu ndiyo anawa financial WanaCry grup?
 
Kapendeza ila aliemtengeneza amrekebishe kidogo... Hips zimepishana
 
Back
Top Bottom