Acha kunikatisha tamaaa bhanaa.......niombee tuu nikipewa nchi na wewe nitakufanyia mpango
Tupia picha
Msingi, kiuno ongeza bidiii....wazeee wakupende
Hahahaaaaa sawa kabisaa nitaongeza juhud zaid ya hapa kizunguke kama feni mbovu
Ila usijaribu kumteka kutumia banda la uani
Hahahaaaaa ilo hapana watoe walio used sasa mimi i sild na lebo juu lazma wale bata ....
Hahaha isje kuwa packaje ya Kariakoooo ! ikawa hivi
Hahahaaaaa mm sio ivyo ngoja nipige picha niwekee..uoneee
hakuna tena nampongeza