Wema Sepetu amefunguka kuwa yeye ni mwana CCM

Wema Sepetu amefunguka kuwa yeye ni mwana CCM

Anataka ukuu wa wilaya....Mwili mzima una finger print za wanaume
 
Dah wemasepetu anawapwerepweta haswaa!
 
Last edited by a moderator:
duh huyu cheo itakuwa hatari...maana anaongoza kwa kulipa watu hoi wasio na kazi kutukana watu mitandaoni. hana akili ya kutumia umaarufu wake kupata pesa anategemea kuhongwa na wazeeee....cheo inamaanisha sie yeye bali ushauri atakaopewa ndio utaongoza. simjui hanujui bali ni mtazamo wangu kama msoma habari hadi kwa mitandao.
 
Kujikomba tu uko......sijui atapewa ukuu wa wilaya au mkoa kabisaaa teh teh
 
Baada ya kukosa pesa za diamond anatapatapa hovyo,
na bado.
 
ni kawaida toka lini ukaona au kusikia malaya yupo chama tofauti na ccm, ili akose mgao wa escrow
 
Back
Top Bottom