huku ni ubuyu tu
so kipi cha ajabu?
Akiwa amepost kwenye ukurasa wake Istagram, kwa kumtakia R.I.P Captain John Komba amejikuta akifunguka kuwa yeye ni mwanachama wa CCM.
Kwahiyo
Mbona kapicha ka avatar kama Wema?
Yu njiani kuwa CD
mnamaanisha DC?umeonaeee