Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Yule NGULI wa Maskendo bongo anafanya Mahojiano na Jamaa wa XXL muda huu...
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naisikiliza sana isipokuwa "ALA ZA ROHO"
Miye nampenda Kibonde!!....Vizuri. Endelea kuisikiliza na waambie ndugu, jamaa, na marafiki zako pia waisikilize.
Ile clip ya Matusi ya Mzee wa BIHAWANA uliwapelekea wewe etiiiieeee...
Miye nampenda Kibonde!!....
Kumbe na wewe unasikilizaga Clouds eeeh? Safi sana.
Mkuu huwa sikuelewi hivi unafanya kazi clouds fm nini ?
Vp ana skendo mpya nini?
Yule NGULI wa Maskendo bongo anafanya Mahojiano na Jamaa wa XXL muda huu...
Hiyo XXL mwanzo imenifanya niwaze kingine..
Umewaza Trojan au Durex?