WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

WEMA SEPETU anahojiwa XXL CLOUDS FM now

Ujana maji ya m0to,so akifikia umri kama wa bi KIDUÐE ATA'CHANGE.
 
Sijajua kwanini Diam0nd na wema wanapata coverage kias HIKI!
 
'nimeanza kuwa star since 2006,siwez kutafuta jina kwa Diam0nd aloanza kuwa maarufu juzi 2010'-WEMA
 
'nimeanza kuwa star since 2006,siwez kutafuta jina kwa Diam0nd aloanza kuwa maarufu juzi 2010'-WEMA

Haka kabinti hakana common sense. Kamuache tu kijana wa watu. Kwanza sielewi hata kwa nini kaliamua kwenda stejini kumtunza jamaa na Diamond alikuwa damned either way! Angezipokea ingekuwa habari na uamuzi wake wa kutokuzipokea imekuwa habari. She needs to grow up and let him be.
 
Hawa wote akili zao hazijakua wanalumbana kwenye radio utadhani waimba taarabu

Aaaah wacha bana. Kwenye Taarab kuna umahiri wa hali ya juu wa kucheza na lugha. Hawa hakuna hata mmoja wao mwenye kipawa cha kucheza na lugha kama Mzee Yusuf.

But she needs to grow up. Mbona Diamond huwa hamfuati huko kwenye mambo yake? She should just let Diamond be.
 
nimemsikia Wema....hiyo slang sasa....mweee....
 
Haka kabinti hakana common sense. Kamuache tu kijana wa watu. Kwanza sielewi hata kwa nini kaliamua kwenda stejini kumtunza jamaa na Diamond alikuwa damned either way! Angezipokea ingekuwa habari na uamuzi wake wa kutokuzipokea imekuwa habari. She needs to grow up and let him be.
Anajifanya hamtaki lakini anamtaka.
 
Back
Top Bottom