Wema Sepetu anakoelekea siko

Hivi hayo madude wanayependea nini?! Hayawapi taabu kutembea au ili mradi huku nyuma anaacha tafrani kwa watu, then poa tu?! Au ndo vile tena tembo haumshindi mkonga wake!!
 
Mbona mwanzo alikua na mwili mzuri hata kama kunenepa si kiivyo mm
 
Hii thread bado ipo?
Ilinila ban
 
Hivi hayo madude wanayependea nini?! Hayawapi taabu kutembea au ili mradi huku nyuma anaacha tafrani kwa watu, then poa tu?! Au ndo vile tena tembo haumshindi mkonga wake!!
chige mimi napenda sana mwanamke mwenye mzigo mzito huko nyuma. Yaani huwa ninapagawa sana kusema ule ukweli.
 
Tako mgogolo, bora amuone daktari kabla haijakuwa mbaya
 
Hiyo shape basi nimecheeeeeka!!! Asante designer wa Wema kwa kuniongezea siku. Hiyo nguo hata nikimpa my atanitupia usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…