Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati Idrisa kapeleka posa?Wanawake wapumbavu pekee.
Mhhhhhhh mapya hayaAti Idrisa kapeleka posa?
Mhhhhhhh mapya haya
Sina habari
Na chanzo changu kikuu cha habari kiko busy....
Subiri,nitafuatilia.
ULIOTUKUKAKatika ubora wako
chige mimi napenda sana mwanamke mwenye mzigo mzito huko nyuma. Yaani huwa ninapagawa sana kusema ule ukweli.Hivi hayo madude wanayependea nini?! Hayawapi taabu kutembea au ili mradi huku nyuma anaacha tafrani kwa watu, then poa tu?! Au ndo vile tena tembo haumshindi mkonga wake!!
Hahaa... I know huu ndo ugonjwa wa wengi lakini hako kaugonjwa mi sinako kabisa!!chige mimi napenda sana mwanamke mwenye mzigo mzito huko nyuma. Yaani huwa ninapagawa sana kusema ule ukweli.
Hahhahhhha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ahsante saana,..umenifanya niamke[emoji28] [emoji119]Kasoma kwa Rasi Simba.