Wema Sepetu anakoelekea siko

Nywele bandia, takko bandia, kucha bandia, ngozi bandia, possibly huyu huwa na bikra mpya kila baada ya miezi 6!
 
Yeye alitamka wazi, kuwa Range Rover seats zake ndo zina mpa shape ya namna hii

Ila hapana aisehh kama ndo seat za new morden ya Range Rover zina tengeneza shape hivi basi sitaki tena Range Rover acha nikomae na nyumbu
 
Pole sana wema......umefanya vituko wee ukiamini utabaki katika mvuto miaka yote kumbe dunia haiendi hivyo .....tazama sasa like zimepungua........sifa zimegeuka madogo kwenye page za mitandao ya kijamii........hautumii tena picha zako za sasa unatumia za zamani ili kuwahadaa mashabiki wako kuwa bado mbichi kumbe umekwisha anza kukongoronyoka kutokana na matumizi mabaya ya mwili wako........pole sana wanaume wote waliokutamani sasa hivi wanakuona ni kituko na makoko ya ugali wa jana hakuna anayekutaka ili akufanye mke maana hauna hivyo vigezo tena.......pole sana .........kwenye soko la udaku hauna jipya tena maana vigoli wapya wameshaanza kukuzidi chati maana hauwafikii kwa uzuri na urembo .......ama kweli usiringie uzuri maana uzee waja .............. na wazuri wanazaliwa kila siku. Pole sana......wanaume waliokuchezea huo mwili wako sasa hivi wapo na wake zao wana ndoa zao wewe umebaki kuigiza mapenzi na umri umeshakutupa mkono............pole sana sijui unatoka vipi hapo ulipo labda utafute haya mazee yenye tamaa mojawapo likuoe maana kwa wazee wewe bado chombo ila kwa vijana sahau maana hata teja sijui kama anastuka akikuona.......duh pole sana[emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…