Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Akuu! Sio siazi yangu hiyo... Mimi saizi yangu ni wale 'Short chasis'...Mkuu ukipewa ww uoe bure tu hata bila ya mahari utakubali??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuu! Sio siazi yangu hiyo... Mimi saizi yangu ni wale 'Short chasis'...Mkuu ukipewa ww uoe bure tu hata bila ya mahari utakubali??
AbeeeeMaimatha Jesse atachomwa moto ndo nini kufanya hivo shape ya miss Tanzania
[emoji2] [emoji2] [emoji2]My God!... Huyu binti atafute tu bwana wa kumuoa. Huko tuendako wanaume watakuwa wanamkimbia...
My God!... Huyu binti atafute tu bwana wa kumuoa. Huko tuendako wanaume watakuwa wanamkimbia...
Yupo kwenye transformation ya kuwa human centipedeMiss tanzania 2006 wema sepetu akitoa neno kwa raia.
Kilichowavutia wadau wengi ni shepu yake matataView attachment 341875View attachment 341875
Teh teh..Shape za kununua balaa aisee..Hii figure sijui inaitwaje
Ha ha haAmekua na mabingabinga kama penguin.
Good ideaHivi hiyo sehemu iliyobonyea hawezi kusawazisha kwa kuweka masiponji ili pawe sawa?
Hii ni shape mpya kwenye mfumo wa namba..Watafiti bado wanachunguza ni namba ngapi..