Wema Sepetu anakoelekea siko

Wema Sepetu anakoelekea siko

dah sio siri anasikitisha kwa kweli, mh Mungu kapanga nin kwny maisha ya huyu dada jaman.
 
wema alikua na umbile zuri sana alilojaaliwa na muumba lkn ameenda kuukosoa uumbaji ule binadam huwa haturidhiki na vile tulivyojaaliwa...tujifunze kurudhika kwan kila kichoumbwa kina makusudi yake ya kwanini kaumbwa hivyo....!
 
Nimekumbuka picha moja ya India ya chatu kameza binadamu, ila sijasema imefanana na hiyo ya spade.
 
Back
Top Bottom