Wema Sepetu anakoelekea siko

Wema Sepetu anakoelekea siko

Nimepata jibu kwanini hatuwekei mapicha picha yake kwenye Insta yake.
 
Duuh things getting worse each morning, ukisikia kitu na boksi ndo hii
 
Atafute pesa aende kwa kina Dr. Terry Dubrow huko wamrekebishe..nahuzunika Wema wa sasa alivyo maskini what happened to her natural beauty
 
safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Masikini namwonea huruma sana, nahisi hata yeye anajuta sana, lkn kwa vile moyo ni kichaka, analilia moyoni, baadhi ya mashoga zake wamemponza. Pole dada wema fanya juu chini uondoe huo mzigo utakuletea matatizo makubwa.
 
Mbona ana matako mawili mawili?

Aisee nimeona hiyo picha nikacheka sana baada ya kuona ana ta.ko nne... Sasa nilivyokuta comment ya mat.ako mawili mawili nimeachia cheko la hatari
 
Back
Top Bottom