Wema Sepetu anaswa na kidume kipya

Wema Sepetu anaswa na kidume kipya

Hongera sana wema am proud of you maana kila birthday lazima utambulishege bwana mpya(sponsor wa birthday)
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
kumbe kila birthday..nimekumbuka sasa!
2017- bwana huyu
16-idriss
15-yule pank wa botswana sijui
14-pedejee range rover
13-mond
12-[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 

MALKIA wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu amenaswa LIVE akiwa na mwanamme anayedaiwa kuwa ni bwana wake mpya. Wawili hao wamenaswa wakijiachia tena mchana kweupe peee huku Wema akijibebisha kwenye kifua cha jamaa huyo!


Anasikika Wema akitema madongo kumponda mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, kwamba alishamshauri aiboreshe perfume hiyo kama anataka iwe na viwango lakini mwenyewe akamwambia kwamba anataka aiuze kwa watu wa daraja la chini na kati.


Muungwana


Keshapiga chini Mbowe?
 
Wema akiwa malkia wa filamu Bongo kina Johari, monalisa,Thea tuwaitaje
 
Kwani huyo ni mkeo?Jali mambo yako binafsi achana na umbeya
 
sasa ,litaka asitiwe..mwache atembeze kipochi manyoya hicho
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
kumbe kila birthday..nimekumbuka sasa!
2017- bwana huyu
16-idriss
15-yule pank wa botswana sijui
14-pedejee range rover
13-mond
12-[emoji134] [emoji134] [emoji134]
2006-2011 nimem[emoji117] [emoji108] sana Wema.kitamu balaa
 
Back
Top Bottom