Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahindi na wafilipino wabebe mifagio na vidumu vya maji wakasome!
!
Hee.... Ni Movie Gani Hii
Hahahahaha anataka kwenye haluaaaa.. Hivi huyu kweli dish limesha yumba kabisa..Duh ya leo kali
Hahahahaha ya kihindi bila shaka.!
!
Hee.... Ni Movie Gani Hii
Vitu vingine bana teh anafanya mwingine ila aibu unahisi wewe. Mi nikiangalia hii clip naona aibu asee ha ha ha ha haHahahahaha anataka kwenye haluaaaa.. Hivi huyu kweli dish limesha yumba kabisa..
Hahahahaha ndio niniNiwekeee kwenye halua haluaa aisee
Hivi huyu Idris yani kaangua hapa kabisa daaaVitu vingine bana teh anafanya mwingine ila aibu unahisi wewe. Mi nikiangalia hii clip naona aibu asee ha ha ha ha ha
Eti apewe kwanza halua ndo ameze dawaHivi huyu Idris yani kaangua hapa kabisa daaa
Hivi huyu Wema ana umri gani kwa sasa? Kuna familia zinapata fedheha hadi basi duu