Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

Wema Sepetu anavyomdekea Idris Sultan chumbani

Eti apewe kwanza halua ndo ameze dawa
Nyani Ngabu pita hapa umuone Mnyaturu live 😀

Anatutia aibu sana watu wa Singida. Ucelebrity wa hivyo hata si utaki. Hivi nani huyo kwanza anaeweza kushika camera kuwachukua hiyo clip. Nimeishia kumhurumia tu. Mungu amsaidie ajitambue, vinginevyo sitakuja kushangaa nikisikia amekua teja.
 
Hiyo camera kama vile imetegeshwa ndo maana hakimbii mbali ha ha ha ha ha
 
Hii movie inatoka lini naisubiri ila sasa amekulipa vizuri ama wewe ndo Sultan mwenyewe au wewe ni wema sepetuka
 
Hapana....mama mnyaturu baba MNYAMWEZI.
So binti ni mnyamwezi. Mzee alipelekwaga tu zenj kufanya kazi
Mhh kila kitu kwenye maisha ya wema ni utata, umri, kabila, maisha vyote huwa havieleweki
 
Fanyeni upupu lkn mjue fainali uzeeni,hawa na mbwembwe zakijinga mkipata matatizo mnatembeza bakuli kwa wanyonge..fool
 
Hii thread niliiyona mda mrefu ila sema niliona aibu ya ku comment! Noma sana
 
Duh........ wizi si lazima wa kupora watu simu zao tu jamani. Huku anaambiwa nataka halua mwingine ataenda kuambiwa nataka Vogue. Tabu kweli kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwani halua ndo kitu gani ati wengine ndo kwanza tunaskia[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom