Wema sepetu anaweza akapata hadi Tsh billion 1 kwa mwezi.

Wema sepetu anaweza akapata hadi Tsh billion 1 kwa mwezi.

...Shabiki ana option kadhaa rahisi tu, kulipia kwa mwezi, ambayo gharama ni shilingi 1,000 tu (mimi nimejiunga na hiyo), miezi mitatu 2,500 na pia kuna option ya miezi sita hadi mwaka mzima ambayo inaenda ikipungua kwa kadri unavyonunua kifurushi cha muda mrefu.
mimi mwenyewe hata sijaipakua
Hujaipakua au siyo? Sasa unalipia nini?
Acha aibu na uoga mbele ya kitu unachokipenda na ukiwa muongo kumbukumbu ziwe nyingi.
 
wajinga ndio waliwao, unatoa kabisa buku kujiunga na ujinga SMFH
Ujinga ni mali ya uma kila mtu anao wa kwake kuana msemo husemwa na waswahili kuwa ujinga huja usiku ili hali wengi wetu tukiwa tumelala hivyo inakua rahisi mno mtu kumuingia wakati wewe ukiona buku nyingi mimi nasema buku kitu gani bhana
 
Back
Top Bottom