nimesharekebisha mkuuNgoja tumsapoti mtanzania...
Ila mwandishi simu/kqmputq yako haina sehemu ya kuacha nafasi kati ya aya na haya???
...Shabiki ana option kadhaa rahisi tu, kulipia kwa mwezi, ambayo gharama ni shilingi 1,000 tu (mimi nimejiunga na hiyo), miezi mitatu 2,500 na pia kuna option ya miezi sita hadi mwaka mzima ambayo inaenda ikipungua kwa kadri unavyonunua kifurushi cha muda mrefu.
Hujaipakua au siyo? Sasa unalipia nini?mimi mwenyewe hata sijaipakua
Mimi pia mkuu...daaaah!dah....nimekimbilia kusoma haraka huu uzi nikidhani labda Wema atapewa fidia kutoka kwa Makonda kwa kuzushiwa mambo ya sembe!
Mshana jr mungu anakuona ujue anakuonaaAlikuwa na kampuni ya Endless Fame naamini imesimama vema mpaka kufikia hapo pa kuwa na App
Alikuwa na kampuni ya Endless Fame naamini imesimama vema mpaka kufikia hapo pa kuwa na App
Ujinga ni mali ya uma kila mtu anao wa kwake kuana msemo husemwa na waswahili kuwa ujinga huja usiku ili hali wengi wetu tukiwa tumelala hivyo inakua rahisi mno mtu kumuingia wakati wewe ukiona buku nyingi mimi nasema buku kitu gani bhanawajinga ndio waliwao, unatoa kabisa buku kujiunga na ujinga SMFH