Ni kweli kabisa hata mimi pia.Mkuu the bold uku wapi bolanijiunge kwako kuliko kwa wema
Akituliza kichwa na ikiwa ana mentor makini msishangae akatusua!
Kila la kheri kwake ila aache skendo za kijinga jinga keshakuwa mtu mzima sasa...
Sisi tuna subilia SCEENSHORT ZA HABARI ZA HIYO APP. tu kwa bureeeeeeeeeeeee
Watakaolipa watakuwa habari zake wanazitoa huko wanazipeleka instagram na mitandao mingne wengine wanaona bure via screen shots na vido capture hapo ndipo maana nzima itapotea
Hahah.!! Karibu sana mkuu..Mkuu the bold uku wapi bolanijiunge kwako kuliko kwa wema
Makonda amekurupuka hawa kina Wema wana kesi ya kujibu lakini siyo hii, hawa wafunhuliwe kesi ya kusambaza ujinga kwenye jamii.Kweli kabisa. Mfano jana screen shoot ilitembeaView attachment 467001
Katika hao members laki 3 kumbuka kuna member wengi ambao kila mmoja ana ID's kuanzia 3-10.FORUM STATISTICS
TOPICS960,354
MEMBERS376,118
POSTS19,319,133.............mkuu hayo mahesabu kwa Tanzania haiwezekani ebu angalia hapo kwenye members wa jf iliyoanzishwa mwaka 2005/6 kama sijakosea hadi leo member ni laki tatu tuu...na habari zote humu zinapatikana free of charge kutakuwa na jambo gani haswa kwenye apps ya wema kiasi cha kuwapumbaza watanzania waingie...uko?..kwakweli late ya watumiaji mitandao ni kubwa lakini wengi wanajua tu kusoma na sio kujiunga.
Kwahiyo alikula dili na Makonda watajane siku ya kuzindua App ili apate users wengi halafu mkwanja utakaopatikana wanagawana na Makondakta. Duh nawaonea huruma wale waandishi walijazana pale sentro
ficha ujinga wako... huelewekiMakonda amekurupuka hawa kina Wema wana kesi ya kujibu lakini siyo hii, hawa wafunhuliwe kesi ya kusambaza ujinga kwenye jamii.
Madhara wanayoyaleta kina Wema ni mabaya kuliko hao wauza sembe.
Taifa likijaa watu wajinga wengi ni hasara tupu na kamwe haliwezi kuendelea.
Kama wewe unayesoma hapa ni miongoni mwa hao wajinga basi kuelewa hata chembe nilichoandika hapa.
lazima umuunge mkono maana ni kada mwenzako...Mimi nitamuunga mkono. Hongera Wema kwa hatua hiii