Wema sepetu anaweza akapata hadi Tsh billion 1 kwa mwezi.

Binafsi napenda wema afanikiwe.nampendaga tuu bila sababu.
 
Useless app. ukishajiunga unafaidika na information gani hasa kwani wema ni mwandishi wa habari? au udaku? global publishers wenyewe hata wawe na app hakuna atakaye lipia kusoma. Aafadhali ya mange ambaye anaandika ubuyu kuna watu wanahamu ya kuusoma. ila kuna namna anaweza kuvutia watu kwa kuweka picha zake za uchi watu watalipia kuona ila sizani kama maisha yake yana interest kiivyo hadi watu walipie. kina kardashian wangekuwa na app za aina hivyo siku nyingi badala yake wao wana application za games walizopewa endorsements na kazalika.
 
Matukio yapi hayo exclusive ? ?
 
1 billion kwa mwezi ni jambo la kupongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…