Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina utofauti na hii ya George Bush Jr.
Sitaki kabisa kuamini kama ilikua ni bahati mbaya, maana Wema anaonekana kwa kudhamiria, amepozi kwa picha.
Na wala siamini kuwa alikua hajui anachofanya, maana habari hizi watanzania wengi twazijua sasa
Hamna cha u freemason wala ufreecarpenter hapo.............ni pozi tu.....pozi kama hizo tumeweka toka tukiwa primary wakati hata huo ufreecarpenter haujapata Air time kama sasa
Hamna cha u freemason wala ufreecarpenter hapo.............ni pozi tu.....pozi kama hizo tumeweka toka tukiwa primary wakati hata huo ufreecarpenter haujapata Air time kama sasa
am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?