Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

Wema Sepetu aonesha alama ya Freemason liveeee!

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
73,773
Reaction score
102,126
IMG_3267.JPG


T20.jpg


T18.jpg


Angalia kwa makini vidole vya mkono wa kulia wa Wema Sepetu,
Anaonesha ishara ya Wajenzi Huru (Freemason) lakini anafanya hivyo kijanja sana maana kageuza kiganja.
Alama aliyoionesha haina utofauti na hii ya George Bush Jr.

bush_satan_sign.jpg


Sitaki kabisa kuamini kama ilikua ni bahati mbaya, maana Wema anaonekana kwa kudhamiria, amepozi kwa picha.
Na wala siamini kuwa alikua hajui anachofanya, maana habari hizi watanzania wengi twazijua sasa


"Mwenye macho haambiwi tazama"
 
Kwani hofu yako nini? freemason ni taasisi kama taasisi zigine Lottery na zingine na wanachama wake ni binadamu kama wewe.
 
Kwani hofu yako nini? freemason ni taasisi kama taasisi zigine Lottery na zingine na wanachama wake ni binadamu kama wewe.

Kuna mahali nilipoonesha hofu?..yaani mimi watu8 niwahofie hao freemason...
 
Hamna cha u freemason wala ufreecarpenter hapo.............ni pozi tu.....pozi kama hizo tumeweka toka tukiwa primary wakati hata huo ufreecarpenter haujapata Air time kama sasa

am tryin to dig deep here baba sharon, am sure the girl knows in and out kuhusu pozi za hao washikaji, maana zimekua zikioneshwa mitandaoni sana...je alikua anataka tu kuuza gazeti ili watu wa-note hivyo vidole au she's tryin to convey a message kwamba she belongs to the devil himself?
 
Inawezekana. Lakini hata hii ya Wolper inatumiwa na Freemasons ingawa wkt mwingine inatumika kuashiria victory.
 
Hizi ngumi walipigana vipi wakati kucha ni ndefu jamani??
 
we mgeni na wema !
Haya aliyategemea alijua tu wakimkosa ijumaa uwaz utatoka na heading.
 
angeweka pozi la kawaida asingetokea huku jf wala kwenye magazeti,sasa nani angeuza jameni!
 
we mgeni na wema !
Haya aliyategemea alijua tu wakimkosa ijumaa uwaz utatoka na heading.

mkuu hata mimi nilikua na hisia kama hizo, lakini kwa kuwa hiyo ni imani basi atakua anawadhihaki kama sio kuwapaisha
 
Hivi nyie hamumjui wema kwamba anatafuta popularity ya kuandikwa magazetini..
 
Wolper naona kaonyesha ya CDM. Ila wema kaharibika angalia mkono wa kulia michirizi ile,,angalia miguuni
 
Back
Top Bottom