ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
daudi ndio nan ww msindikizaj?
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattt.......!!
Leo ilikua ni siku ya Mwigizaji Wema Sepetu kurudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Kesi hiyo imeahirishwa leo baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi kutokamilika hivyo kesi hiyo imepangwa tarehe 15 March 2017.
daudi ndio nan ww msindikizaj?
Fake umesema wewe, mimi nimesema a country of possibilities kwan hujui mambo mengi yanawezekana Tanzania?U fake wake nn hapo[emoji15]