Wema Sepetu apandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu

Wema Sepetu apandishwa kizimbani mahakama ya Kisutu

upelelezi wa kipisi kmoja cha bangi bado unaendelea,hahahahahahahaha mkemia mkuu atakuwa anapima mbegu yake ililimwa wapi halafu wana trace mpka wamdake mkulima husika aunganishwe na sepetu😀
 
Screen-Shot-2017-02-22-at-3.21.05-PM.png

Leo ilikua ni siku ya Mwigizaji Wema Sepetu kurudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya baada ya kutajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Kesi hiyo imeahirishwa leo baada ya upande wa Mashtaka kusema upelelezi kutokamilika hivyo kesi hiyo imepangwa tarehe 15 March 2017.
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaattt.......!!
Naombeni maelezo ya Sirro wakati wameenda kufanya search na walichokutananacho.
 
Back
Top Bottom