Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daudi ndiyo nani tena?ishakwisha hyo.... daudi kashapata atakalo
Daudi ndiyo nani tena?
Ova
Kweli anaigiza.
kila kitu hyu demu ni feki.
Na kesi feki[emoji1] [emoji1]saur
ti feki
makalio fake
mimba feki
wanaume feki
maisha feki
nadhani ni hizi bange anazovuta sinampa stimu feki ya kufanya mambo fake
Na kesi feki[emoji1] [emoji1]
U fake wake nn hapo[emoji15]A country of Possibilities!
Ukijibiwa nitag.Si wanasema walikuta bangi na puli? Nn zaidi?