Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Dada yangu🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo hajapata kampani ya mwenyekiti?
hahahaha, ati kimataifa, huyo jokate hata hapo kenya hawamfahamu, au ulikusudia kitaifa la ccm?Anavuna alichokuwa anakipanda. Mwenzake Jokate anazidi kupaa tu kimataifa.
Joka ni kibibi tuAnavuna alichokuwa anakipanda. Mwenzake Jokate anazidi kupaa tu kimataifa.
Sawa, yawezekana upo sahihi. Ila mie pia nipo sahihi, na ninakuwekea na evidence kwamba Jokate anaenda kimataifa zaidi kuliko huyo mpenda skendo wenu.hahahaha, ati kimataifa, huyo jokate hata hapo kenya hawamfahamu, au ulikusudia kitaifa la ccm?
Dah hata mimi nashangaa wakati kuna mkulu nakula naye ganja balaaMmmh kwaiyo bangi imeingia kwenye madawa ya kulevya dah