Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Mwaka huu umekua mwaka wa neema kwa mrembo wa Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu, Hii kutokana na muda haujapita sana alipochaguliwa kuwa balozi wa mistubishi new model akiwa pamoja na Millard Ayo.
Na sasa kapata deal nyingine ya kuwa balozi wa hospital mpya ya kimataifa ya macho ambayo itafunguliwa muda si mrefu hayo yameelezwa na meneja wake Martin Kadinda kwenye ukurasa wake wa Instagram.
Source:Wema Sepetu apata deal la ubalozi wa hospitali ya kimataifa – Bongo5.com