Wema Sepetu apata deal la ubalozi wa hospital ya kimatafa ya macho

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Mwaka huu umekua mwaka wa neema kwa mrembo wa Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu, Hii kutokana na muda haujapita sana alipochaguliwa kuwa balozi wa mistubishi new model akiwa pamoja na Millard Ayo.

Na sasa kapata deal nyingine ya kuwa balozi wa hospital mpya ya kimataifa ya macho ambayo itafunguliwa muda si mrefu hayo yameelezwa na meneja wake Martin Kadinda kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Source:Wema Sepetu apata deal la ubalozi wa hospitali ya kimataifa – Bongo5.com
 
Kisaa alienda mtibu mama ake kuna siku nilikuwa naangalia tv shemeji yenu alikuja nitembelea akaweka hicho kipindi cha shoes sijui nikamuona wema yupo na mama yake kwenye hiyo hospital nahisi jamaa waliona ni fursa nzuri ya kujitangaza ndo mana wamempa deal
 

Ni kwenye kipindi chake cha in My Shoes hongera zake kupata deal.
 
Hongera zake

Balozi au dalali? Si waseme ukweli tu, si kashindwa kutumia jina lake vzuri, acha watu wamsaidie kutumia jina lake.

Kwa hyo kama asingenda hospital asingekuwa balozi? Huu ubalozi wa kuunga unga hapana kwa kweli ,maana siku izi ata shilole nae kawa balozi
 
NdIo kitu chenyewe kutwa walichokuwa wanakipigia kelele uko insta? Mxiuuuu ...Zari white party ndo habar ya mujini, msikose
 

hahaaaaabinamu una wivu na mama ubaya lol
shilole ni balozi wa nini nae
 
hahaaaaabinamu una wivu na mama ubaya lol
shilole ni balozi wa nini nae

Umeona eeh? Ahahah shilole c balozi wa kinywaji kipya cjui kinaitwaje

Ila huu ubalozi magumashi, ina maana asingeenda wasingempa ubalozi
 
umeona eeh? Ahahah shilole c balozi wa kinywaji kipya cjui kinaitwaje

ila huu ubalozi magumashi, ina maana asingeenda wasingempa ubalozi

bado mimi tu kuwa balozi..........

Mma wema alikua anaumwa mamco ama??????????
 
hahaaaaabinamu una wivu na mama ubaya lol
shilole ni balozi wa nini nae

Ila kwa level ya wema sio mtu wa kufuraia ubalozi wa mwaka mmoja, anastahili makubwa zaidi ya hilo, hayo mambo wayashobokee ma underground wanaochipukia, it's not a big deal at all
 
bado mimi tu kuwa balozi..........

Mma wema alikua anaumwa mamco ama??????????

Alimpeleka mama ake anaumwa macho, apo apo akapata na ubalozi, ebu tujaribu na sisi kwenda binamu uenda tutapewa na sisi ubalozi wa kutangaza hospital pale mwenge kama wale wa tigo promotion, hahahahah
 
hudda monroe ndani ya nyumba kudadadekiiiii.....!!!
patanogajeeeeee....!!!!

Makahaba wote international aka first class ndani ya nyumba, hapana chezeya zari white party, watu wanahaha kukodisha magari ya kifahari wakauzie sura ni shidaaaa
 
Makahaba wote international aka first class ndani ya nyumba, hapana chezeya zari white party, watu wanahaha kukodisha magari ya kifahari wakauzie sura ni shidaaaa
umeona eeeehhhh....
wema...sijui...ubaya!!#
tupa kuleeeeee!!
nampenda sanaaaa hudaaaaa
anaishi maisha yake!!
 
Aache kuuza mbunye katalunya ...balozi wa macho au balozi wa kuuza 0713
 
Alimpeleka mama ake anaumwa macho, apo apo akapata na ubalozi, ebu tujaribu na sisi kwenda binamu uenda tutapewa na sisi ubalozi wa kutangaza hospital pale mwenge kama wale wa tigo promotion, hahahahah

we utapewa ubalozi wa umbeya jamii forum
mliman city kutanogaje hiyo siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…