HahahahaaaAma hakika yeye ndie mwigizaji bora wa kike hapa Tanzania. Ila filamu waliyompea tuzo ndio sio yenyewe. Filamu yake bora ni MY WAY BACK HOME (CCM)
Hahahahah my way back homei'm dead........Ama hakika yeye ndie mwigizaji bora wa kike hapa Tanzania. Ila filamu waliyompea tuzo ndio sio yenyewe. Filamu yake bora ni MY WAY BACK HOME (CCM)
Peleka celebrity, Mbowe alimhaidi viti maalumu kama fisadi lowasa angeingia magogoni
Mbona Mange unamsikiliza kila siku anakupeni maelekezo ya nini cha kufanya akiwa nyuma ya keyboardNext, utasikia Hamisa Mobeto pia anaita waandishi wa habari.
Then atafuatia ebitoke na wapuuzi wengine.
As if watanzania tumekua watu wa kusikiliza vitu vya hovyo kutoka kwa watu wa hovyo hovyo!