Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahaha uko alikuwa anapewa nini hahahahahaBaada ya kuondoka Chadema
unataka watu wasimuongelee na kumtizama lakini wewe unamuongelea hapa utakavyo.hivi ni nani aliyekuroga
Hakustahili
Hana sifa za kupewa tuzo
Bora wangempa riyama
Msamehe hana data huyoMkuu uwe una taarifa kamili kabla ya kuandika tuhuma. Wema alimpigia kampeni Magufuli na alihamia CHADEMA Magufuli akiwa raisi
ww ndo mjinga ambaye mpaka sasa unamjadili muonyesha makalio mwenzakoSimuongelei Wema, nawahamasisha na kufundisha wanaume wa Dar na watu wengine wasiojitambua kuwa she's a nobody ila an opportunist anayecheza na akili za wanaotaka kuchezewa. Ku-think outside the box like me si kurogwa ni kipaji, ila kurogwa ni kule ufanyavyo wewe kushabikia ujinga huku hujitambui.
USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na vyombo vya habari.
Kuna mengi mazito anataka ayaweke wazi. Channel ya Sinema Zetu ndani ya Azam TV itakuletea mkutano huu LIVE.
[HASHTAG]#SinemaZetu[/HASHTAG] [HASHTAG]#HakikaNiZaKwetu[/HASHTAG] [HASHTAG]#AzamTVApp[/HASHTAG] [HASHTAG]#AzamTV[/HASHTAG] [HASHTAG]#SZIFF2018[/HASHTAG]
We kijana bwana ha ha sababu amevua gwandaHana influence tena!