Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Hakustahili

Hana sifa za kupewa tuzo

Bora wangempa riyama
 
unataka watu wasimuongelee na kumtizama lakini wewe unamuongelea hapa utakavyo.hivi ni nani aliyekuroga

Simuongelei Wema, nawahamasisha na kufundisha wanaume wa Dar na watu wengine wasiojitambua kuwa she's a nobody ila an opportunist anayecheza na akili za wanaotaka kuchezewa. Ku-think outside the box like me si kurogwa ni kipaji, ila kurogwa ni kule ufanyavyo wewe kushabikia ujinga huku hujitambui.
 
ww ndo mjinga ambaye mpaka sasa unamjadili muonyesha makalio mwenzako
 
USIKOSE: Saa 10:00 jioni ya leo (Aprili 5, 2018), Mkali wa Bongo Movie, ambaye ndiye aliyeibuka Muigizaji Bora wa Kike katika Tuzo za Kimataifa za Sinema Zetu (SZIFF), Wema Sepetu atakutana na vyombo vya habari.

Kuna mengi mazito anataka ayaweke wazi. Channel ya Sinema Zetu ndani ya Azam TV itakuletea mkutano huu LIVE.

[HASHTAG]#SinemaZetu[/HASHTAG] [HASHTAG]#HakikaNiZaKwetu[/HASHTAG] [HASHTAG]#AzamTVApp[/HASHTAG] [HASHTAG]#AzamTV[/HASHTAG] [HASHTAG]#SZIFF2018[/HASHTAG]

hivi ni mwanasesere au mtu real maana naona giza!!
 
Back
Top Bottom