Wema Sepetu apata dili nono baada ya filamu ya Heaven Sent kumpatia tuzo

Mazito kama wezere yake?
 
Makalio ya kichina hayajawahi kumuacha mwanamke salama. Any way alitaka kuwataja wakina kalumanzila wake waliomtapeli wakampa gundu badala ya kismet [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Nasubiri press conference ya Shilole tu.
 
Kweli sijawahi kupenda bongo movie ila niliendelea tu kuwaheshimu nikitarajia kuwa siku moja Watakuja kujiongeza na hatimaye kufanya ile kitu roho zetu zingependa kuona!! Ila toka siku ile niwaone wakiandamana eti ili filamu za nje zifungiwe na badala yake tulazimishwe kuangalia umaku wao ndipo nilipowadharau na kuwachukia jumla!! Wasng tu hao.
 
True beauty its not about excessive makeups!
 
Kwa kweli watanzania inabidi tufike mahali tujitafakari na kujitambua, sielewi kwanini tunashabikia sana ujinga tena wa ngumbalu. Utaona mtu mzima na akili timamu anashabikia upuuzi na kusahau shughuli zake za msingi, usikute hapa kuna watu wazima (wanaume wa Dar) wataacha kazi zao na kuwahi kufungua TV kumsikiliza Wema. The girl hana kitu kichwani na it is true anapendelewa kwa kupata ile tuzo bcs Wema is NOT a really actress kwa sababu hata ku-act hajuwi. Yeye (Wema) aliingizwa kwenye uchezaji sinema as project ya Kanumba (Mwanamke wa location, same gear aliyopewa Lulu) ili achezewe (gegedwa) na madhara yake ndo haya, she can't act at all. Anafikiri kuonekana kwenye screen ndiyo ku-act. Azam wanapoteza muda kumrusha Mama vituko live, not worthy it.
 
Nimeisikiliza clip ambayo waandaaji tuzo wameelezea vigezo ya upatikanaji mwigizaji bora.

Tusilaumu Wema alikuwa na vigezo kuliko wengine labda hapo mwaka wa movie.

Maana kati ya vigezo vinavyoangaliwa lazima movie iwe yako na una hatimiliki,kama msambazaji ndo ana hatimiliki basi lazima uende na barua toka kwa msambazaji,kama msambazaji ni zaidi ya moja lazima uwe na barua zao zote halafu waandaaji wanawasiliana na wasambazaji.

Sasa waliobaki hakuwa waliotekeleza hayo wanataka tu tuzo.
 
Yani tuzo tu kulalamikiwa leo hii anaita vyombo vya habari.. dunia inakwenda kwa kasi ya ajabu kwenye vitu ambavyo havina msingi..

Mtakao kuwa katibu mtujuze kaongea nini
 
Mwigizaji bora Wa kuonyesha wowowo lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…