Kwahiyo Mungu anawaadhibu tu wanaotoa mimba ila wanaozini aakhaaa!!!
Maana kuzini na kuabort zote ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!
Wewe acha tu.Mungu na atuepushie. Ila mimi naona wema bado mdogo tu asikate tamaa.
Kwahiyo Mungu anawaadhibu tu wanaotoa mimba ila wanaozini aakhaaa!!!
Maana kuzini na kuabort zote ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!
Huo ni ushauri au mahubiri? Halafu hakuna kitu hapo zaidi ya kumsifia.Anatafuta kick tu huyo hana lolote.
Huo ni ushauri au mahubiri? Halafu hakuna kitu hapo zaidi ya kumsifia.Anatafuta kick tu huyo hana lolote.
kwahiyo akiwa mkubwa kizazi kitakuwepo...? kama ishu alishaharibu kizazi hata akikua kuhusu kuzaa asahau......
Mhuu...yani huyo naye, mie mtazamo wangu tofauti.Sidhani kama Wema alimaanisha.Nadhani alitaka awape mahasimu wake satisfication ya kumwongelea na kuwin public sympathy.Na amefanikiwa lakini yeye atakua anang'ong'a.
Mzima weyee?
Yani upuuzi mtupu, mijitu mingine cjui ina usaha kichwani nfyuuu
Una uhakika gani kama kimeharibika kweli sister? Hivi unayaamini maneno ya wema?Wewe ngoja siku atakapobeba mimba.Tuombe uzima nitakutafuta tu.
Upo sahihi.Na kama ni hiyo public sympathy mbona kuipata kweli? Mimi simuamini hata kidogo wema.
Mie mzima mumy.
Nimeona kwenye gazeti la udaku eti Wanjera mjamzito Mhu, subiri tuone.Ila Wanjera ni queen of drama.Wanaotoa pole watoe sana tu.Ila mie siwez kupoteza pole yangu kwa mtu ambaye najua kabisa inawezekana hana hilo tatizo na angekua nalo wala asingetangaza.Na kama sio mjamzito leo, mwakani utasikia ana mapacha.