Wema Sepetu apata ushauri kwa kutokuwa na mtoto

Wema Sepetu apata ushauri kwa kutokuwa na mtoto

Kwahiyo Mungu anawaadhibu tu wanaotoa mimba ila wanaozini aakhaaa!!!
Maana kuzini na kuabort zote ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!

Wote wanaadhibiwa Sawa mana ni dhambi nilikua na maanisha incase wale wanaotoa mimba mpaka kizazi hapo inakuaje hata uombe vipi hupati mtoto. Kama ni matatizo ya hormone tu ukienda kwa fertility Dr anaweza ku kusaidia. Hivi hivi wengi hawapi kwa kutoa kizazi sasa kesi ya bibie kutokuzaa haijulikani bora angekaa kimya wengi watakua wanatumia kumu attack.
 
Kwani kawa nani mpaka watu wamuonee huruma hivyo wakati kuna watanzania kibao wapo kwenye ndoa zao hawajabahatika kupata Mtoto na wanazidi kumuomba Mungu.
Itakuwa huyu hata kuolewa bado..badala kwanza ya kumpa ushauri atafute mume ndio kwanza mnazidi kumpa attention.
 
Wema kaambiwa na dr gani kwamba hazai? Usikute hao wanaokutana nae wanakula vidonge vya kudelay ejacultn ili kumla vya kutosha hela zao ziende kihalali na uchunguzi unasema wanaodelay ni ngumu kumpa mimba m/ke.
 
Wewe acha tu.Mungu na atuepushie. Ila mimi naona wema bado mdogo tu asikate tamaa.

kwahiyo akiwa mkubwa kizazi kitakuwepo...? kama ishu alishaharibu kizazi hata akikua kuhusu kuzaa asahau......
 
Kwahiyo Mungu anawaadhibu tu wanaotoa mimba ila wanaozini aakhaaa!!!
Maana kuzini na kuabort zote ni dhambi na mshahara wa dhambi ni mauti!

Mungu anaadhibu wadhambi wote na haijalishi dhambi ipi.....ila kutoa mimba ukiachana na adhabu ya Mungu lakini pia ni hatari......kwanza haujui una mayai mangapi kwahiyo ukitoa wewe mwenyewe unajiweka kwenye hatari ya kutapata mtoto hapo mbeleni......pili hatari ya kuharibu kizazi kwa kutoa mimba ni kubwa.....kwahiyo Mungu anaweza asikuadhibu.....lakini wewe mwenyewe ukawa umejitengenezea mazingira hatarishi ya ugumba tena kwa kujitakia.......
 
Huo ni ushauri au mahubiri? Halafu hakuna kitu hapo zaidi ya kumsifia.Anatafuta kick tu huyo hana lolote.

Mhuu...yani huyo naye, mie mtazamo wangu tofauti.Sidhani kama Wema alimaanisha.Nadhani alitaka awape mahasimu wake satisfication ya kumwongelea na kuwin public sympathy.Na amefanikiwa lakini yeye atakua anang'ong'a.
Mzima weyee?
 
Ushauri au anaandika sifa anazompa kwa upande mmoja kujazia mengi ambayo na yeye mwandikaji anajijua kuwa alikuwa hataki kumpa ukweli wa alivyo as ni mchemko....gazeti lefu point ya sentensi mbili tatu kajazia mistari mia mia

wampe ukweli ndio unasaidia sio kuendelea kudanganya wasomaji kuwa anasingiziwa wakati life yake inajulikana ya kutokujiheshimu.
 
Huo ni ushauri au mahubiri? Halafu hakuna kitu hapo zaidi ya kumsifia.Anatafuta kick tu huyo hana lolote.

Yani upuuzi mtupu, mijitu mingine cjui ina usaha kichwani nfyuuu
 
kwahiyo akiwa mkubwa kizazi kitakuwepo...? kama ishu alishaharibu kizazi hata akikua kuhusu kuzaa asahau......

Una uhakika gani kama kimeharibika kweli sister? Hivi unayaamini maneno ya wema?Wewe ngoja siku atakapobeba mimba.Tuombe uzima nitakutafuta tu.
 
Last edited by a moderator:
Mhuu...yani huyo naye, mie mtazamo wangu tofauti.Sidhani kama Wema alimaanisha.Nadhani alitaka awape mahasimu wake satisfication ya kumwongelea na kuwin public sympathy.Na amefanikiwa lakini yeye atakua anang'ong'a.
Mzima weyee?

Upo sahihi.Na kama ni hiyo public sympathy mbona kuipata kweli? Mimi simuamini hata kidogo wema.

Mie mzima mumy.
 
Una uhakika gani kama kimeharibika kweli sister? Hivi unayaamini maneno ya wema?Wewe ngoja siku atakapobeba mimba.Tuombe uzima nitakutafuta tu.

ndiyo maana nimesema 'kama' ....nikimaanisha naongea kwa maelezo ya ujumbe ulioletwa ....lakini mimi sijui kama kimeharibika ama laah.....in short sijui lolote kuhusu wema zaidi ya kusikia kutoka kwa watu.....
 
Hakua na jipya la kuongea ndio mana anataka watu wamuone huruma,kwa utandawazi huu mbinu zilojaa tele ashindwe kupata mtoto?kama kazitoa nyingi na sasa mayai yamekwisha aseme........
 
Upo sahihi.Na kama ni hiyo public sympathy mbona kuipata kweli? Mimi simuamini hata kidogo wema.

Mie mzima mumy.

Nimeona kwenye gazeti la udaku eti Wanjera mjamzito Mhu, subiri tuone.Ila Wanjera ni queen of drama.Wanaotoa pole watoe sana tu.Ila mie siwez kupoteza pole yangu kwa mtu ambaye najua kabisa inawezekana hana hilo tatizo na angekua nalo wala asingetangaza.Na kama sio mjamzito leo, mwakani utasikia ana mapacha.
 
Mmmmh,huko kwenye udaku nako hakuamini!
Umeona mwaya eeh? Wema sio wa kuamini.Kikubwa katika suala hili la mtoto namuombea tu Mungu ampe maana hakuna mkamilifu.Hata kama ana makosa yake Mungu na amsamehe tu.
 
Alisemaga masanja nanukuu "kila siku mwanamke yupo club, muda wote mwili umechemka anatakiwa atulie mwili upoe ili apate mimba" teh walimwengu na maneno
 
Shukuru kwa kila jambo WEMA, kazi ya Mungu haina makosa. Mungu ni mwema endelea kumtumainia na haja yako ataitimiza. Amina
 
Jaribuni kutubu toba kwanza kabla yakulia maisha ya anasa kuiba waume zawatu na vileo ivi je utapataje kupona? Tubu wema mrudie mungu wako kwanza
 
Back
Top Bottom