Wema Sepetu apokelewa kama Malkia nchini Rwanda, aeleza kilichompeleka

Wema Sepetu apokelewa kama Malkia nchini Rwanda, aeleza kilichompeleka

Ila kiukweli huyu mama amezeeka, sio yule binti mrembo anaeita tena...yani hata akikaa na zari kidogo zari anavutia dah....kazi anayo
 
Wema kinachomfanya Uzungu ni kingereza but hana tofauti na gigy money na kingine kile kisauti chake cha mapozi baasi!ana mitusi yulee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mekugawa bure shoo[emoji119] [emoji119]
 
Hukujua kuwa u-Tanzania sweetheart unachuja umri ukifika, hata hivyo Wema ameifanyia nini jamii alipokuwa maarufu?

Hajawahi kuwa balozi wa wenye ulemavu au watoto wa mtaani au hata wenye magonjwa sugu.
Ndio tatizo la watu wetu maarufu, yaani it's all about themselves, umaarufu ukiisha hakuna legacy yoyote ya maana ya kukumbukwa nayo.
 
Back
Top Bottom