Wema Sepetu apokelewa kama Malkia nchini Rwanda, aeleza kilichompeleka

Yaani watu wana wivu na wema wakati mwenzenu analipwa wabongo hatUjawahi kupendana
 
Mawivu ya nini, support mwenzenu ktk, "" ukitaka kuujua uchi wa mwenzio anza na wako """ emagin ww ndo unaongelewa ungejisikiaje. Mawazo ( +) jaribu kuwa nayo kwa kila mtu
 
Watu waliompokea dr shika kule ni wengi zaidi ya hao wa rwanda,hlf mnasema kapokelewa km malkia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…