Wema sepetu apost video inayomwonyesha diamond yupo kifua wazi kitandani

Wema sepetu apost video inayomwonyesha diamond yupo kifua wazi kitandani

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,296
Reaction score
3,398

alafu chini ya hiyo video kaandika hivi `in da middle of his song writing session.... jus had to disturb him a little....`
diamond.jpg
 
Last edited by a moderator:
mgegedo wa diamond nasikia umeonekana
 
bdo utuoneshe jinsi anavyokutapisha tope mana ndicho ulichomrudia
kwa style hii tutaona hata vitu ambavyo hatupswi kuyaona,wasiswasi wangu yale yaliyomtokea kim kardashian tutakuja kuyaona hapa safari hii wakibwagana,maana sisi kujua tu kama wao ni wapenzi naona wanaona haitoshi....
 
Wema ana moyo sanaa maana muda si mrefu watabwaganaa maana Diamond anapumzikiaa tu sasa anatafuta kifaa kipyaa tena
Yetu masikioo
Penny wapiiiiiiiiiiiiiii?????
 
mbona Diamond ka record mwenyewe?
hujaambiwa kama diamond kajirecord mwenyewe ama hajajirekodi mwenyewe umeambiwa `wema kapost video ya diamond akiwa kifua wazi kitandani` mark my word
 
kwa style hii tutaona hata vitu ambavyo hatupswi kuyaona,wasiswasi wangu yale yaliyomtokea kim kardashian tutakuja kuyaona hapa safari hii wakibwagana,maana sisi kujua tu kama wao ni wapenzi naona wanaona haitoshi....

Nahofia hawa wawili watakuja kutoa filamu ya ngono... Wakati ndio utaongea
 
inawezekana wanahisi hatujatosheka na sisi kujua kwamba wao ni wapenzi.au wanahisi hatuelewi nini wanafanya kwenye mapenzi yao

wanatafuta umaarufu zaidi...skendo za kila siku ndio zawaongezea umaarufu..sasa wakileta filamu ya ngono itawapa mwonekano mkuu
 
Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
 
Back
Top Bottom