Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
Nahofia hawa wawili watakuja kutoa filamu ya ngono... Wakati ndio utaongea
Nachelewa kuamini kwajinsi alivohamishia mahabati kwa Penny nkajua hapo ndo mwisho wa kuhangaika
Maisha yamekaza.Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
alafu chini ya hiyo video kaandika hivi `in da middle of his song writing session.... jus had to disturb him a little....`
View attachment 131517
we tapika tu menzako wema kafa kaoza hapo.hilo domo nimejisikia kutapika ptuuuuuu!!!
hivi hizo habari zao wewe zinakusaidia nini? mbona hambadiliki mnapenda sana mambo ya watu namna hii? badilika kaka yangu inatia aibu mno mwanaume kushadadia na kufwatilia ishu za namna hiiEeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
Excel.. the need!
sijajua sababu ya msingi ya diamond kurudiana na wema s.
yet najiuliza... kwanini amuache pen.seli yule?
kuwa star nako kuna raha na shida zake!!