Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
hii siyo movie sasa imekuwa series tena zile za maria claraTuwaache movie iendelee
hii siyo movie sasa imekuwa series tena zile za maria clara[/
Itakuwa Isidingo....wasitukanane basi wakiachana....
kwa style hii tutaona hata vitu ambavyo hatupswi kuyaona,wasiswasi wangu yale yaliyomtokea kim kardashian tutakuja kuyaona hapa safari hii wakibwagana,maana sisi kujua tu kama wao ni wapenzi naona wanaona haitoshi....bdo utuoneshe jinsi anavyokutapisha tope mana ndicho ulichomrudia
hii siyo movie sasa imekuwa series tena zile za maria clara
hii siyo movie sasa imekuwa series tena zile za maria clara[/
Itakuwa Isidingo....wasitukanane basi wakiachana....
Days of our lives
Days of our lives
Sure bro
duh huna habari weye??? watakucheka watu!!!Inamaana diamond kamrudia Wema????
hujaambiwa kama diamond kajirecord mwenyewe ama hajajirekodi mwenyewe umeambiwa `wema kapost video ya diamond akiwa kifua wazi kitandani` mark my wordmbona Diamond ka record mwenyewe?
kwa style hii tutaona hata vitu ambavyo hatupswi kuyaona,wasiswasi wangu yale yaliyomtokea kim kardashian tutakuja kuyaona hapa safari hii wakibwagana,maana sisi kujua tu kama wao ni wapenzi naona wanaona haitoshi....
inawezekana wanahisi hatujatosheka na sisi kujua kwamba wao ni wapenzi.au wanahisi hatuelewi nini wanafanya kwenye mapenzi yaoNahofia hawa wawili watakuja kutoa filamu ya ngono... Wakati ndio utaongea
duh huna habari weye??? watakucheka watu!!!
inawezekana wanahisi hatujatosheka na sisi kujua kwamba wao ni wapenzi.au wanahisi hatuelewi nini wanafanya kwenye mapenzi yao