Wema sepetu apost video inayomwonyesha diamond yupo kifua wazi kitandani

Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena

Waarabu wa Pemba hao
 
Nachelewa kuamini kwajinsi alivohamishia mahabati kwa Penny nkajua hapo ndo mwisho wa kuhangaika

nani kakwambia mtu anaridhiki ku do aliimisi tu ya wema ndo maana kairudia akiichoka atairudia tena ya peeny life goes on.
 
Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
Maisha yamekaza.
 
waaacheni jamanii...na diamond kamwee hataachana na wema...labda wema afe...atazungukaa mwisho wa siku atarudi kwa huyo wema...waachenii..birds with same feathers flies together...drammer girl...drammer boy....muwaaachee...tuendelee kuangalia movie yetu.... scenes zimeanzia china.....huyo penseli aendelee kulala....mwenzie chibu kashaamka ana shoot movie.....yeereeeuuuiiiii........
 
Eeh sasa penny si alisemaga wawaache walale,leo imekuwaje tens duh...na hyo ndomo alisemaga kamwe hamrudii wema Malaya sana sasa imekuwaje...hawa ------- sana,name huyo wema so alisemaga ndomo mswahili sana na so type take Leo VP tena
hivi hizo habari zao wewe zinakusaidia nini? mbona hambadiliki mnapenda sana mambo ya watu namna hii? badilika kaka yangu inatia aibu mno mwanaume kushadadia na kufwatilia ishu za namna hii
 
Excel.. the need!

sijajua sababu ya msingi ya diamond kurudiana na wema s.

yet najiuliza... kwanini amuache pen.seli yule?

kuwa star nako kuna raha na shida zake!!
 
Last edited by a moderator:
Excel.. the need!

sijajua sababu ya msingi ya diamond kurudiana na wema s.

yet najiuliza... kwanini amuache pen.seli yule?

kuwa star nako kuna raha na shida zake!!

kuna vigezo waliwekeana naona kama vile cha wema kuachana na kigogo wake awe na diamond naona wamekubaliana hilo thats y wamerudiana
 
Last edited by a moderator:
Excel.. the need!

sijajua sababu ya msingi ya diamond kurudiana na wema s.

yet najiuliza... kwanini amuache pen.seli yule?

kuwa star nako kuna raha na shida zake!!

We nani ili ujue
 
Last edited by a moderator:
wapi Jumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…