juzi juzi tu kajaliwa baby boy.Woow Kumbe amejaliwa huyu dada jamani? [emoji3][emoji3] lini hiyo? Wema atapata nae halafu mbona bado umri wake ni mdogo sana?
ukiwa haujaolewa mimba haitungwi???
Ni kweli umri wake mdogo...miaka yote Ana miaka 26 ...inaongezeka kwa kurudi nyuma!