Wema Sepetu asema madawa ya hospital kwa ajili ya mtoto yanamnenepesha

Wema Sepetu asema madawa ya hospital kwa ajili ya mtoto yanamnenepesha

Woow Kumbe amejaliwa huyu dada jamani? [emoji3][emoji3] lini hiyo? Wema atapata nae halafu mbona bado umri wake ni mdogo sana?
juzi juzi tu kajaliwa baby boy.

umri wa wema ni mkubwa ndiyo maana yupo tayari kuwa mama.
 
Tatizo lake anapenda sana kiki hivi angekaa kimya angepungukiwa na ninii
 
Kachokonoa uterus kaua mtoto sasa anahangaika nini na madawa
Tatizo sio ovaries
Tatizo ni huo mji wa mimba haukaliki
 
Wema angefanya mambo yake muhimu kimya kimya angefanikiwa sana,ni binti mwenye bahati ila hajui kuitumia hio bahati aliyonayo
Tatizo lake anapenda sana kiki hivi angekaa kimya angepungukiwa na ninii
 
Back
Top Bottom