Baada ya JK ni PM rais wa 5 ndo ukweli wengine ni kujijaza upepo na ubatili.
Nilistaajabu sana ule umati ulienda kumpokea wema baada ya kukatwa aliporudi Dar...Nilijiuliza mno ni kweli mtu anaenda kumpokea Wema kabisa eti na msafara na watu pembeni ya njia wamejipanga wanamchukua movie na simu zao...Dah kweli mtu na watu wake...Dawa ya mtu anejifanya maaruf ww jifanye humjui!!
Nilistaajabu sana ule umati ulienda kumpokea wema baada ya kukatwa aliporudi Dar...Nilijiuliza mno ni kweli mtu anaenda kumpokea Wema kabisa eti na msafara na watu pembeni ya njia wamejipanga wanamchukua movie na simu zao...Dah kweli mtu na watu wake...
Kamrushia mheshimiwa rais mtarajiwa maneno sio mazuri ndo maana jana kaoga mvua ya matusiwamemtukana matusi makali sana ..sijui ni chuki kwa ccm au wema binafsi
Dada yangu la Divabeyonce huyo manzi Sepetu nadhani sasa mnamwelewa Akili ndogooozzz aliyo nayo ni mtu wa matatizo kila siku .Wema siku zile Ukawa wamefunika Dar akaandika upuuzi wake eti Ukawa hawajitambui. Na akawambia timu yake wasi post chochote kuhusu Ukawa. Inaonyesha anaumizwa na Ukawa sana.
Hakukuonea aibu hadi wewe mzeeLabda Wema ameanza tena kuvuta bange. Wema alifika hapa Butiama a few weeks ago. Nikamuuliza wewe ni Wema,akakataa. Unajua hawa superstars wanakuwa na hasira sana usipowatambua mara moja. Nilomuona Wema,an incurable romantic preoccupied with her boyfriend.
Dada yangu la Divabeyonce huyo manzi Sepetu nadhani sasa mnamwelewa Akili ndogooozzz aliyo nayo ni mtu wa matatizo kila siku .
Sijui kwanini watu wanamshobokea huyu mtu .
Ndio maana maisha yake hayana fyucha
Watu wamsaidie anasikitisha.
Wema siku zile Ukawa wamefunika Dar akaandika upuuzi wake eti Ukawa hawajitambui. Na akawambia timu yake wasi post chochote kuhusu Ukawa. Inaonyesha anaumizwa na Ukawa sana.
Juzi kaandika post ya kukashifu afya ya lowassa,muache aendelee kucheza na EL ipo siku ata potea,amu ulize mwenzake "mrembo asilia" kilicho mpata hato sahau.katoka zake ulaya kuja kugombea ubunge matokeo yake kaishia kukaa selo teh teh teh na ubunge aka ahirisha mazima,siku hizi haongei tena kuhusu EL ame geuza kibao ana waandika madrug dealer tu kwenye blog yake......teh teh teh teh!
Nlicheka ile post ya "team wema yeyote usimpost lowasa" kwasababu wema sio shabiki wa lowasaWema umaarufu unaisha hana cha kuonyesha cha maana zaidi ya kusubiri za kupewa ili aishi mjini. Siasa haziwezi mana anapenda kuamrisha close friends walikua wana kazi aisee. Yani anaiamrisha timu yake cha kufanya.
Naona anatafta ukuu wa wilaya mvuto kwishney shavu limemshuka.
Hao wanaomshobokei wamesha mchoka
Nlicheka ile post ya "team wema yeyote usimpost lowasa" kwasababu wema sio shabiki wa lowasa
kazi kwelikweli kumbe akipendacho yeye lazma na mashabiki wake wapende
Yani huyu akiaminicho ndo sasa hadi kupangia mashabiki eti cha kufanya. Kuwa na followers wengi haimaanishi ndo best na akisemacho ndo wafate. Yeye hapo anaona ana mtaji wa kura za ccm kupitia timu yake. Hao mashabiki walimchunia. Eti wamu post Magufuli Wema ana vtuko muwewe inabidi aje ajiandae
Labda na kukatwa nako kumemvuruga, si unajua ukiwa unaexpect jambo af likienda sivo basi mambo yanakua hovyo