Wema Sepetu asema Rais wake ni Magufuli, wengine ni wa kukodisha

Dawa ya mtu anejifanya maaruf ww jifanye humjui!!
Nilistaajabu sana ule umati ulienda kumpokea wema baada ya kukatwa aliporudi Dar...Nilijiuliza mno ni kweli mtu anaenda kumpokea Wema kabisa eti na msafara na watu pembeni ya njia wamejipanga wanamchukua movie na simu zao...Dah kweli mtu na watu wake...
 
Hilo unashangaa, hushangai ya lowasa?
 
Wema siku zile Ukawa wamefunika Dar akaandika upuuzi wake eti Ukawa hawajitambui. Na akawambia timu yake wasi post chochote kuhusu Ukawa. Inaonyesha anaumizwa na Ukawa sana.
Dada yangu la Divabeyonce huyo manzi Sepetu nadhani sasa mnamwelewa Akili ndogooozzz aliyo nayo ni mtu wa matatizo kila siku .

Sijui kwanini watu wanamshobokea huyu mtu .

Ndio maana maisha yake hayana fyucha

Watu wamsaidie anasikitisha.
 
Last edited by a moderator:
Labda Wema ameanza tena kuvuta bange. Wema alifika hapa Butiama a few weeks ago. Nikamuuliza wewe ni Wema,akakataa. Unajua hawa superstars wanakuwa na hasira sana usipowatambua mara moja. Nilomuona Wema,an incurable romantic preoccupied with her boyfriend.
Hakukuonea aibu hadi wewe mzee
 
Dada yangu la Divabeyonce huyo manzi Sepetu nadhani sasa mnamwelewa Akili ndogooozzz aliyo nayo ni mtu wa matatizo kila siku .

Sijui kwanini watu wanamshobokea huyu mtu .

Ndio maana maisha yake hayana fyucha

Watu wamsaidie anasikitisha.

Wema umaarufu unaisha hana cha kuonyesha cha maana zaidi ya kusubiri za kupewa ili aishi mjini. Siasa haziwezi mana anapenda kuamrisha close friends walikua wana kazi aisee. Yani anaiamrisha timu yake cha kufanya.
Naona anatafta ukuu wa wilaya mvuto kwishney shavu limemshuka.
Hao wanaomshobokei wamesha mchoka
 
Last edited by a moderator:
Wema siku zile Ukawa wamefunika Dar akaandika upuuzi wake eti Ukawa hawajitambui. Na akawambia timu yake wasi post chochote kuhusu Ukawa. Inaonyesha anaumizwa na Ukawa sana.

Juzi kaandika post ya kukashifu afya ya lowassa,muache aendelee kucheza na EL ipo siku ata potea,amu ulize mwenzake "mrembo asilia" kilicho mpata hato sahau.katoka zake ulaya kuja kugombea ubunge matokeo yake kaishia kukaa selo teh teh teh na ubunge aka ahirisha mazima,siku hizi haongei tena kuhusu EL ame geuza kibao ana waandika madrug dealer tu kwenye blog yake......teh teh teh teh!
 
Yani huyu anatumiwa na kina rizi sasa kalewa sifa za kuandika ya ajabu yeye ni nani wa kuongelea afya ya mtu labda si amnadi magufuli wake bila mipasho. Eti Ukawa hawajielewi.
Huyo mwenye blog wamunyooshe tu kazidi kujiona yeye ni mwamba haogopi kuanika ya watu. Tena ugonjwa wa MTU,na wanasubiria sheria ianze tu aone moto.
Wema hata amnadi vipi mgombea wake ukuu wa wilaya ataishia kuuona tu. Kama hakujipendekeza kwa Jk sasa ivi asahau.
 
Wema umaarufu unaisha hana cha kuonyesha cha maana zaidi ya kusubiri za kupewa ili aishi mjini. Siasa haziwezi mana anapenda kuamrisha close friends walikua wana kazi aisee. Yani anaiamrisha timu yake cha kufanya.
Naona anatafta ukuu wa wilaya mvuto kwishney shavu limemshuka.
Hao wanaomshobokei wamesha mchoka
Nlicheka ile post ya "team wema yeyote usimpost lowasa" kwasababu wema sio shabiki wa lowasa
kazi kwelikweli kumbe akipendacho yeye lazma na mashabiki wake wapende
 
Yani huyu akiaminicho ndo sasa hadi kupangia mashabiki eti cha kufanya. Kuwa na followers wengi haimaanishi ndo best na akisemacho ndo wafate. Yeye hapo anaona ana mtaji wa kura za ccm kupitia timu yake. Hao mashabiki walimchunia. Eti wamu post Magufuli Wema ana vtuko muwewe inabidi aje ajiandae
 
Labda na kukatwa nako kumemvuruga, si unajua ukiwa unaexpect jambo af likienda sivo basi mambo yanakua hovyo
 
Sio kukatwa tu diamond na Zari wana mnyima raha sana tu plus huyo mtoto basi ndo mana alivopiga picha na Jk akaandika mpasho eti mambo yake yana munyookea.
 
Wema anajielewa sana huyu aisee...

1439804306227.jpg
Kama unaona huyu anajielewa, basi wewe ni wa kupimwa akili. Labda kwenu ndivyo mlivyo hata hivyo sikushangai sana. Maana unaweza kukuta kwenu Maza na Masista wanavaa hivyo hadharani kwahiyo kwa upeo wako unaona powa tu!
 
ameshapitwa na wakati huyo ili nimkubali atuletee kwanza kiumbe kwa dunia
 
Back
Top Bottom