Wema Sepetu asema Rais wake ni Magufuli, wengine ni wa kukodisha

Wema Sepetu asema Rais wake ni Magufuli, wengine ni wa kukodisha

mambo ya michirizi na tabia wapi na wapi?? mambo mengine ni maumbile na mtu hapendi awe nayo. zungumzia tabia yake mkuu

Tabia yake ya kujikoboa ndo imepelekea kuwa na extreme michirizi kama yake:sly:
Na naona mkorogo umeenda kuchubua hadi ubongo ndo mana anabwabwaja bwabwaja tuu.
 
Wema yeye ni nani.? Akafanye mambo yake ya maigizo sio huku kwenye siasa. anadhani uongozi ni club ya starehe?
 
angejipendekeza enzi akiwa wazir wa uvuvi apate mgawo wa wale samaki wa magufuli... saiv kama anapishana na mwenge wa uhuru iv
 
Yaani wema katika vitu alivyoshindwa ni kuficha stress zake alizonazo. Amekuwa mtu wa kupanic na kutaka kila anayemshabikia amuabudu na hiki ndicho kinachowashinda mashoga zake hadi kufikia kuachana naye. Ana mambo ya kishule ya msingi sana. Akikosana na mtu anataka marafiki zake wote wamchukie kitu ambacho hakiwezeni. Naona aliyeweza kumvumilia ni yule dada yake anayeuza mikorogo. Kuwa team wema ni utumwa sana.
 
Huyu binti siasa zinakwenda kummaliza.....kwa umri wake hajui siasa za nchi hii.....angefanya yake asijiingize kwenye siasa ambazo hana fact......kwasababu ni mjuaji asubiri matokeo yake.....
 
Hivi Cjui ndio tumsaidaje huyu MTT Cjui anajidanganya atapewa nafasi ya upendeleo or. Fikra zake anathani umaaru maskini angejuà? Pls wema najua bongo movie aina hishu now but my advice to you is that Mayb ungetafuta namna nyingine ya kutokea na si hapo umekosea sorry
 
Hao akina wema ndio wakuu wa wilaya watarajiwa. Mtajuta miaka kumi mingine kuwa chini ya utawala wa ccm.
 
Back
Top Bottom