Wema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards

Wema Sepetu atia neno kuhusu BET Awards

Hata wewe unaweza kuwa kama wema hakikisha unamkojoza
Huyu dada sijui alilishwa nini na diamond.

Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.

Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.
Tuu
 
Analegea taratiiiibu,Diamond hawezekani tena kibakuli hana tofauti na wekundu wa msimbazi tour zimekata anasubiri kili awards


Diamond alimtuma RommyJones akaombee msamaha, ingia snapchat ya Wema utawaona
 
vote 4 tanzanian artist vote diamond aka chibu aka dangoute aka simbaaaa bin laden
 
Diamond alimtuma RommyJones akaombee msamaha, ingia snapchat ya Wema utawaona.Diamond amuombe wema msamaha kwa lipi hasa?Wema si ndie aliembwaga Diamond?kwa hiyo Diamond katuma mtu anaomba kurudiana na wema?au kwa kosa gani
Wema anatumia fursa ya kukutana na watu wa karibu na Diamond aonekane anaombwa msamaha,hilo haliwezekani ndio imetoka hiyo
 
Huyu dada sijui alilishwa nini na diamond.

Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.

Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.
Pesa pesa ndio mpango mzima
 
Back
Top Bottom