TuuHuyu dada sijui alilishwa nini na diamond.
Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.
Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.
hahahaha.Nape anaakili sana, taifa hili bila uwepo Wema Sepetu maisha yangekuwa magumu sana
si kweli,hii kauli huwa inanikera sana aise...au wewe ndo ulianza kumjua diamond baada ya kuwa na wema?Kwanza huyo unayemwita simba kapata umaarufu kupitia wema[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Analegea taratiiiibu,Diamond hawezekani tena kibakuli hana tofauti na wekundu wa msimbazi tour zimekata anasubiri kili awards
Diamond alimtuma RommyJones akaombee msamaha, ingia snapchat ya Wema utawaona.Diamond amuombe wema msamaha kwa lipi hasa?Wema si ndie aliembwaga Diamond?kwa hiyo Diamond katuma mtu anaomba kurudiana na wema?au kwa kosa gani
Wema anatumia fursa ya kukutana na watu wa karibu na Diamond aonekane anaombwa msamaha,hilo haliwezekani ndio imetoka hiyo
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Nape anaakili sana, taifa hili bila uwepo Wema Sepetu maisha yangekuwa magumu sana
Pesa pesa ndio mpango mzimaHuyu dada sijui alilishwa nini na diamond.
Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.
Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.
Sijaelewa kivipi ila ni kwa hao alio wasaidia.Nape alisema Wema anamsaada mkubwa Tanzania.
Ukuwadi ndio huo.Huyu dada sijui alilishwa nini na diamond.
Hakuna mwanaume atakuja kupendwa na huyu dada.
Yani leo dai akiomba one night stand atapewa, kwa huyu dada kugharamia kila kitu.