Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kalenda imesimama!27 mbona wamemuonea,wafanye 22 kabisa.....kuna yule msanii mwingine wa bongo movie anaitwa Nisha huu ni mwaka wa nne mfululizo anaadhimisha birthday ya kutimiza miaka 27 huku ana toto la kike la miaka 15
Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?
Kwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
Kumbe Wema bado ni msichana mdogo tuKwa mujibu wa east africa tv mwadada Wema sepetu leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa
View attachment 408320
Hivi huku duniani kuna watu miaka yako haiongezeki aisee
we unaweza chagua mwenyewe umri unaotaka.mwaka 2006 wakati anakuwa miss Tanzania alikuwa na umri gani?
Mmmmh!!! Wemaaaa wemaaaaa!!! Lakini wema hauozi!! kwa maana hiyo alizaliwa 1989!!!!
Miaka 14we unaweza chagua mwenyewe umri unaotaka.
Wema wema ku.....nyookoooo.....aliimba Remy OngalaWema kwao wapi
Laana na ikuangamize leo usiku!Wema wema ku.....nyookoooo.....aliimba Remy Ongala