Wema Sepetu atimiza miaka 27

Wema Sepetu atimiza miaka 27

Lakini kashapitia dushe za mpaka miaka 70 ijayo...
 
27 mbona wamemuonea,wafanye 22 kabisa.....kuna yule msanii mwingine wa bongo movie anaitwa Nisha huu ni mwaka wa nne mfululizo anaadhimisha birthday ya kutimiza miaka 27 huku ana toto la kike la miaka 15
Kalenda imesimama!
 
Daah kwa mizigo aliyokwisha ibeba ni bora tu wampunguzie umri, mana bado anafaa kwa matumizi zaidi
 
Alikuwa miss tanzania 2006 na sheria za miss tanzania ni miaka 18 na kuendelea sasa asume alikuwa na miaka 18 iyo 2006 hadi leo ndo iyo 27?

Haaa haaa alikuwa na miaka 10 duh wanawake wa Dar ni shida.
 
[emoji79] [emoji79] [emoji79] siku miaka ikianza kwenda mniambie maana naona siku haziendi kabisa
 
Mwambieni wema aache uhuni mi nakumbuka mwaka 2007 nkiwa bado kinda wema sepetu alikuwa mama mpaka leo nazeeka bado ana miaka 27
 
Nakumbuka mwaka 2016 alipokuwa miss alikuwa na miaka 20 na sasa imepita miaka 10 iweje tena leo awe na 27?
 
Tusubiri mwakani atakuja na 26, uzuri wa umri wake unasifa ya kupungua so kuongezeka
 
Back
Top Bottom